• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

DC Waryuba akamata robo ekari ya shamba la bangi kijiji cha Chaume

Posted on: April 1st, 2020

Shamba la mmea aina ya bangi robo ekari ambayo limekamatwa kijiji cha Chaume

Na Kitengo cha Habari na Mawasiliano 

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Sebastian Waryuba ameagiza kung`olewa  robo ekari ya mmea aina ya bangi ambayo ameipanda shambani  kwake mkazi wa kijiji cha Chaume Said Abdalla (41) na Shahame Saidi (25)

Waryuba amesema mkazi huyo amepanda mmea huo wa bangi kwenye shamba  lake ambalo amechanganya na mazao mengine kama vile choroko na  mahindi kitendo ambacho ni kinyume na sheria na taratibu  za nchi


Mkuu wa Wilaya akionyesha mmea huo kwa baadhi ya wananchi waliojitokeza mahali hapo

“Tunashukuru Jeshi la polisi kwa jitihada zao kwa kushirikiana na wananchi  kwa kufanikisha kukamatwa kwa huyu mkulima,  Upandaji na utumiaji wa bangi ni kosa la jinai hivyo mmea huu nimeagiza utolewe na tayari zoezi la ung`oaji limeaza na wakazi hawa watachukuliwa  sheria inayostahili ili iwe fundisho kwa wengine ,”amesema Waryuba

Aidha amewataka wananchi  kupanda mazao ambayo ni halali   katika jamii badala ya kujiingiza katika upandaji wa mimea ambayo itakuwa na madhara kwa vijana na  kupoteza nguvu kazi ya Taifa


Baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama wakiwawekea mzigo wao wa bangi tayari kwa kuibeba

Naye Mkazi huyo Said Abdallah (41) amejitetea kuwa sababu iliyompelekea kupanda zao hilo ni kutokana na ugumu wa maisha na inamuongezea nguvu akiwa anafanya shughuli za shamba

“Mimi sitarudia tena  Mkuu,nilipanda kwasababu ya ugumu wa maisha tuu,na muda mwingine nikinusa majani haya yananisaidia kupata nguvu ya kuendelea na kazi ya kulima,”amesema Abdallah



 

Mkulima wa shamba hilo wa kijiji  cha Chaume Said Abdallah (41)  akiwa na mwanae Shahame Said(25) 


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa