• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

DC Sawala azindua Bodi ya Mfuko wa Elimu Halmashauri ya Tandahimba

Posted on: March 7th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala amesistiza uwazi na uwajibikaji  wa bodi ya mfuko  wa Elimu  sambamba na kuzingatia taratibu, na sharia  za uendeshaji  wa mfuko  ili uweze kufanya mabadiliko katika Elimu

Amesema hayo Machi 7,wakati wa uzinduzi wa bodi  ya Mfuko wa Elimu katika ukumbi wa mikutano  wa Halmashauri ambapo amesistiza  uwazi na kubuni miradi yenye tija ili wananchi wanaochangia mfuko huo waweze kunufaika nao

”Nawaasa  baada ya  uzinduzi  huu bodi  mkaziangalie sharia,kanuni ,taratibu na miongozo ili muweze  kuusimamia kikamilifu lakini mkabuni na kuibua  miradi ya kimaendeleo ambayo itaacha alama yenye tija kwa Halmashauri na Wilay kwa ujumla,”amesema Dc Sawala

Aidha amesema kwamba kwa kutumia mfuko wa elimu  tuione  Tandahimba juu kielimu,uwezo huo upo na nia ipo pia ametoa rai kwa bodi hiyo  kushirikisha wananchi na wadau  wengine kwa yale wanayostahili kushirikishwa

Naye Mwenyekiti Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Mhe.Baisa Baisa ameipongeza bodi hiyo na kuaminiwa na kueleza kwamba matumaini yaliyopo  ni kuona mabadiliko katika elimu na kuangalia vyanzo vingine  kuliko kukitegemea chanzo kimoja cha Korosho

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa