• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

DC SAWALA AZINDUA BARAZA LA WATOTO WILAYA YA TANDAHIMBA

Posted on: June 12th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala amezindua Baraza la Watoto Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ambapo amesema litasaidia kuwajengea uwezo wa kujiamini  kuwa na udhubutu wa kufanya mambo mbalimbali yatakayochangia kufanya vizuri katika Kimasomo pamoja na kuwa viongozi bora wa badae

Akizindua Baraza la Watoto leo Juni 12,2023 katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri, Dc Sawala amesema kuwa lengo la Serikali  ni kutimiza azma ya kuwashirikisha watoto katika masuala yanayowahusu kwakuwapatia  fursa kujadili na kuamua mambo yanayowahusu

" Nimezindua rasmi Baraza la Watoto la Wilaya ambapo lengo la Serikali ni kuwawezesha watoto kujitambua,kujilinda na kujitetea wanapofanyiwa vitendo vya ukatili na kuwajengea maadili mema na kukuza uzalendo wa Taifa lao ,mimi nawatakia kila lililo jema ,Serikali yenu ya awamu ya sita inawajali,sisi Wilaya tutawasikilizeni," amesema Dc Sawala

Naye Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wialaya ya Tandahimba Ndg.Aloyce Massau akisoma taarifa yake kwa Mgeni Rasmi amesema Mabaraza ya Watoto yameundwa kuanzia ngazi ya kijiji ambapo jumla ya  Mabaraza ya Watoto  32 ngazi ya kata na mabaraza 143 ngazi ya vijiji na baraza moja la Wilaya yameundwa

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Ramadhani Chimale amesema watazingatia muongozo katika utekelezaji wa majukumu yao sambamba na kupinga vitendo vya ukatili dhidi ya watoto

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa