• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

DC SAWALA AWASISITIZA WAKUU WA SHULE KUSIMAMIA TAALUMA

Posted on: September 29th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano 

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala amewasistiza  Wakuu wa Shule za Sekondari kusimamia  Taaluma ili kuongeza ufaulu sambamba na kusimamia nidhamu na maadili ya wanafunzi  kujenga Jamii bora .


Amesema hayo leo Septemba 29,2023 kwenye kikao cha Umoja wa  Wakuu wa Shule za Sekondari(TAHOSSA) kutoka Halmashauri zote za Mkoa wa Mtwara kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri.


 " Mkasimamie Taaluma kwenye maeneo yenu ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi, lakini pia mkasimamie nidhamu na maadili ya wanafunzi , ili kuendelea kuimarisha mila na desturi  za Kitanzania huku mkiwasistiza kusoma kwa bidii na msisite kutoa taarifa za utoro wa wanafunzi ili hatua za kisheria zichukuliwe kuzuia mdondoko wa wanafunzi ," amesema Dc Sawala.


 Aidha amewasistiza  kusimamia taratibu na miongozo ya utoaji wa  adhabu kwa wanafunzi huku akitoa wito kwa walimu kushirikiana na kuepuka makundi ya wao kwa wao katika maeneo yao ya utendaji ambapo pia amewapongeza kwa kusimamia upatikanaji wa chakula shuleni.


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Umoja wa Wakuu wa Shule za Sekondari (TAHOSSA) Mkoa wa Mtwara Mwl.Twaha Chitipu amesema  pamoja na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu Umoja wao wa TAHOSSA  lakini pia  wamejadili na kupeana Mikakati ya usimamizi bora wa shule hasa wakilenga kuinua Taaluma na ufaulu


Kikao cha TAHOSSA Mkoa wa Mtwara kimefanyika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ambapo Jumla ya Wakuu wa shule za Sekondari 140 kati ya 171 wa Mkoa wa Mtwara wameshiriki katika kikao hicho.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa