• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Dc Sawala atoa wito kwa wanawake wa Tandahimba

Posted on: February 25th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano

Kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya  Wanawake Duniani Machi  8,2023 Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mkhe.Kanali Patrick Sawala  ametoa wito kwa wanawake kuwa karibu na watoto ili kubaini  changamoto  zao  sambamba na kupinga ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kwa jamii

Ameyasema hayo  Februari  24,2023 wakati akizungumza na wanawake wa Tandahimba waliojitokeza kwa wingi katika viwanja vya nje ya ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ambapo amesema kuwawanawake wananyanyasika lakini baadhi hawataki kutoa taarifa

“Wakina mama kuweni karibu na watoto ili kujua changamoto zao,ni wakati wa kusema unyanyasaji wa kijinsia  na ukataili  sasa basi,Serikali ipo na nyinyi,kuna madawati ya kijinsia ,msikae kimya mnapoteza haki zenu toeni taarifa katika vyombo husika ili  hatua zichukuliwe,”amesema Dc Sawala

Aidha Dc Swala alisikiliza kero mbalimbali zilizotolewa na wanawake ambapo alizitolea ufafanuzi na zingine aliahidi kuzifuatilia kwa hatua Zaidi,alitumia nafasi hiyo kuwapongeza wanawake kwa jinsi wanavyoshiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo pia amewasistiza kujitokeza kwa wingi kushiriki katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Aprili5,2023 na kushiriki kilele cha siku ya wanawake  Machi 8 ambayo yatafanyika Kimkoa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

Naye Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Mussa Gama akizungumzia uwezeshaji wanawake kiuchumi amesema Halmashauri inatoa asilimia nne (4) kwa wanawake ambapo amewasistiza kulipa mikopo hiyo kwa wakati ili wanawake wengine wanufaike nayo

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa