• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

BODI YA MFUKO WA ELIMU YAKAGUA MIRADI YA ELIMU YENYE THAMANI YA TSH.MILIONI 261.5 TANDAHIMBA

Posted on: September 7th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano 


Bodi ya Mfuko wa Elimu Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba imefanya ziara na kukagua Miradi ya Elimu yenye thamani ya Tsh.Milioni 261.5 inayotekelezwa kwa Fedha za Mfuko wa Elimu  sambamba na kukagua Maendeleo ya Kitaaluma kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari

Akizungumza wakati wa Ukaguzi huo leo Septemba 7,2023 Mwenyekiti wa Bodi hiyo Ndg.Msham Bakiri  amewasisitiza Walimu kuzingatia taaluma na miiko ya kazi wawapo Shuleni ili kukuza taaluma kwa Wanafunzi akiwataka kuwaelemisha wazazi juu ya Umuhimu wa kuwapeleka watoto Shule

" Nitumie fursa hii kuwaasa Walimu kutimiza wajibu wenu na kuzingatia maadili ya kazi hii, walindeni watoto hawa, lakini pia jengeni mahusiano mazuri na wazazi ili iwe rahisi kwao kuwajibika kuwahudumia watoto wao mahitaji muhimu yanayohitajika," amesema Mwenyekiti wa Bodi

Kwa Upande wake Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mchichira Yusuph  Msuya ameshukuru Mfuko wa Elimu Tandahimba kwa kuendelea kuboresha Elimu  Shuleni hapo kwa kujenga Miundombinu ya  Madarasa ambayo yamesaidia kuondoa upungufu madarasa uliokuwepo hapo awali na kuongeza ufaulu kwa Wanafunzi

Bodi ya Mfuko wa Elimu imekagua vyumba vya madarasa pamoja na matundu ya Vyoo katika Shule za Msingi Ruvuma, Mchichira, Namkomolela, Shule ya Sekondari Dinduma pamoja na ukamilishaji wa  Bweni Shule ya Sekondari Kitama

Aidha fedha za Mfuko wa Elimu Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba hutekeleza shughuli mbalimbali za maendeleo katika sekta ya Elimu.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa