• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

BODI YA MFUKO WA ELIMU TANDAHIMBA YAKAGUA MIRADI YA ELIMU YA TSH.MILIONI 274.4

Posted on: April 30th, 2024

Bodi ya  Mfuko wa Elimu Wilaya ya Tandahimba imefanya ziara ya kukagua Miradi Sita ya Elimu yenye zaidi ya Tsh.Milioni 270 inayotekelezwa katika Wilaya hiyo sambamba na Maendeleo ya wanafunzi katika Shule za Msingi ambapo katika ukaguzi huo Bodi hiyo imetoa wito kwa wazazi kushirikiana na walimu katika malezi ya kitaaluma kwa watoto wao.


Akizungumza wakati wa ukaguzi wa Madarasa na Ofisi Shule ya Msingi Namitondi Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Elimu Tandahimba  Bakiri Msham amesema pamoja na Serikali kuboresha miundombinu ya Elimu ikiwemo Ujenzi wa vyumba vya Madarasa Wananchi wanatakiwa kuhakikisha wanafuatilia Maendeleo ya kitaaluma kwa watoto  ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao na sio kuwaachia walimu peke yake.


Aidha, Bodi ya Mfuko wa Elimu Tandahimba imetoa fedha kiasi Cha Tsh.Milioni 104.4 Kwa ajili ya Ujenzi wa Vyumba vinne(4) vya Madarasa, Matundu 10 ya Vyoo, Umaliziaji wa Vyumba Viwili  vya Madarasa na madawati 180 ambapo Miradi hiyo inatekelezwa  katika Shule za Msingi Amani, Matogoro, Mikuyu, na Likolombe.


Vilevile Bodi hiyo imepongeza Ujenzi wa Bweni la Shule ya Sekondari Luagala lenye thamani ya Tsh. Milioni 141 lililojengwa kwa ufadhili wa TEA sambamba na Ujenzi wa Madarasa manne na Ofisi Shule ya Msingi Namit

ondi.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa