• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Baraza la madiwani lapitisha rasimu ya mapendekezo ya bajeti zaidi ya shilingi Bil 45

Posted on: February 10th, 2022

Na Kitengo cha Habari na Mawasiliano

Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wamepitisha rasimu ya mapendekezo ya bajeti kiasi cha shilingi 45,102,660,150 katika bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023

Akiwasilisha bajeti hiyo  leo Februari 10,2022 Mkurugenzi Mtendaji ndugu Mussa Gama katika baraza maalum la Bajeti amesema kuwa fedha hizo zinatokana  na vyanzo vyake vya mapato ya ,Ruzuku  kutoka Serikali kuu,Wahisani pamoja na michango ya jamii

Mkurugenzi amesema kuwa  katika mwaka wa fedha 2022/2023 wanatarajia kukusanya mapato ya ndani zaidi ya shilingi 4,970,502,000 ambazo zinatarajia kukusanywa kutoka kwenye vyanzo mbalimbali vya mapato ya halmashauri

Akiendesha kikao hicho Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Mhe.Baisa Baisa  pamoja na madiwani wameipitisha bajeti hiyo 

Mwenyekiti amesema kuwa Jitihada kubwa ifanyike ili bajeti hiyo itekelezeke kwa kuhakikisha suala la ukusanyaji wa mapato katika maeneo yote yanafikiwa ili wananchi waweze kuendelea kupata maendeleo 

“Bajeti hii tumeiridhia na imemgusa mwananchi moja kwa moja,kwasababu inakwenda kugusa afya elimu ,mifugo,kilimo na mengine mengi,ni matumaini yetu kuwa itatekelezeka ili wananchi waweze kuona maendeleo hayo katika maeneo yao,”amesema Mwenyekiti

Aidha madiwani kwa nyakati tofauti wameipongeza bajeti hiyo kuwa imejitahidi kugusa katika maeneo mengi hiyo itawanufaisha wananchi wa Tandahimba

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa