• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Baraza la Madiwani Halmashauri ya Tandahimba lapitisha Rasimu ya Mpango wa Bajeti ya mwaka 2023/2024

Posted on: February 6th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano

Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba limeridhia kupitisha rasimu ya Mpango wa bajeti  kwa mwaka wa fedha 2023/2024 ambao umekasimia kukusanya na kupokea shilingi Bilioni arobaini na moja milioni mia tano themanini na moja na elfu sabini na sita  elfu(41,581,076,000) kutoka vyanzo mbalimbali  ikiwemo vyanzo vya mapato ya ndani 

Akiwasilisha mapendekezo hayo ya mpango wa bajeti Februari 6,2023 kwa waheshimiwa madiwani Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba  Ndg.Mussa Gama amesema kuwa katika vyanzo vya mapato ya ndani Halmashauri imejiwekea lengo la kukusanya shilingi Bilioni tano milioni miatano hamsini na nane laki saba ishirini na saba elfu na mia tisa (5,558,727,900)  kwa mwaka wa fedha 2023/2024

Aidha amesema ruzuku kutoka Serikali Kuu Halmashauri kwa mwaka 2023/2024  inatarajia kupata  shilingi 24,804,449,00 kwa ajili ya mishahara,shilingi 3,459,664,000 kwa ajili ya miradi ya Maendeleo , shilingi 940,636,000 kwa ajili ya matumizi mengineyo ,Fedha kutoka  kwa wafadhili shilingi 6,817,599,000 na mapato yanayotokana na michango ya Jamii Halmashauri inatarajia kukusanya shilingi 850,000,000

Kwa upande wa matumizi ya fedha za mapato ya ndani Halmshauri  imekasimia kutumia  shilingi 5,400,000 kwa ajili ya Mishahara,shilingi 1.301,824,040 Miradi ya Maendeleo na matumizi mengineyo shilingi 1,963,764,960`


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa