Posted on: September 17th, 2024
Wasimamizi wa Uchaguzi Halmashauri za Mkoa wa Mtwara wakila kiapo mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mtwara, Mhe. Lucas Mtimizi Jang’andu katika ukumbi mdogo wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa.
...
Posted on: September 7th, 2024
Shirika lisilo la kiserikali linaloitwa SPORTS DEVELOPMENT AID, kupitia mradi unaoitwa Empowered Girls Speak Out (EGSO) wenye lengo kuwawezesha wanafunzi wenye umri 14- 19 kujitambua, ...