Posted on: June 2nd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Michael Mntenjele akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka Wilaya ya Mtwara ukitokea Halmashauri ya NANYAMBA mapema Leo.
Mwenge wa Uhuru utapitia jumla ya Miradi ...
Posted on: June 30th, 2024
Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Mtwara yamefanyika katika Uwanja wa Shule ya Msingi Mpapura ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe.Kanali Patrick Sawala amewaongoza Wananchi wa Mkoa huo kupokea Mwe...
Posted on: May 21st, 2024
Usikae na Ugonjwa njoo upate Tiba na Madaktari Bingwa wa Mama Samia.
-Magonjwa ya Kinamama na Uzazi
-watoto
-Upasuaji,
-Ganzi na Usingizi
-Magonjwa ya Ndani.
...