Na Kitengo cha Mawasiliano
Wito umetolewa kwa Walezi Wakuaminika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba kuendelea kufanya kazi hiyo kwa upendo na moyo wa kujitolea kwa watoto wanaofanyiwa ukatili na unyanyasaji
Ameyasema hayo Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Ndg.Aloyce Massau kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wakati akifungua kikao cha Tathimini ya Mwaka 2022/2023 ya kazi zilizofanywa na Walezi wa Kuaminika kwa watoto wanaofanyiwa ukatili na unyanyasaji
Kikao hicho kimefanyika leo Julai 27,2023kwenye ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa