Na Kitengo cha Mawasiliano
Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Wazee Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wameipongeza Serikali kwa kuendelea kuulinda na kuuimarisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Wakizungumza kwa nyakati tofauti Aprili 24 katika mahojiano maalum wamesistiza kuwa ili kuendelea kuuenzi Muungano Elimu itolewe kwa wanafunzi mashuleni ili waweze kujua historia ya Muungano na kuendelea kuuenzi
Maadhimisho hayo Kimkoa yanatarajia kufanyika Tarafa ya Mchichira Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe.Kanali Ahmed Abbas Ahmed atakuwa Mgeni rasmi, kauli mbiu “Umoja na Mshikamano ndiyo Nguzo ya Kukuza Uchumi wetu”
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa