Na Kitengo cha Mawasiliano
Watoa huduma za afya Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wamepatiwa mafunzo elekezi kuhusu Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo ya Surua na Rubella itakayoanza kesho Februari 15-18,2024 ,mafunzo hayo yamefanyika leo Februari 14,2024 kwenye ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa