Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Mussa Gama amewasinisha Mikataba ya utekelezaji wa afua za lishe watendaji kata zote 32 zilizopo Halmashauri ya Tandahimba
Akiwasainisha Mikataba hiyo Novemba 25,2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmasahauri Mkurugenzi amewasistiza kusimamia na kuhakikisha shughuli zote za lishe zinafanyika kikamilifu katika maeneo yao
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa