Na Kitengo cha Mawasiliano
Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe.Jaji Asina Omari amewasistiza Wasimamizi wa Uchaguzi wa Vituo vya kupiga kura katika Uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Mndumbwe Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba kuviishi viapo walivyoapa kwa ajili ya zoezi hilo
Amesema hayo Disemba 15,2022 katika mafunzo ya siku ya pili ya wasimamizi wa uchaguzi wa vituo ambayo yamemalizika leo katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ambapo amesema mafunzo hayo yametolewa kwa mujibu wa sheria
Kata ya Mndumbwe inaelekea kufanya uchaguzi mdogo wa nafasi ya Udiwani Disemba 17 baada ya aliyekuwa Diwani wa Kata hiyo kufariki dunia
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa