• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Wasimamizi wa Sensa watakiwa kutunza vitendea kazi

Posted on: August 13th, 2022

Na Kitengo cha Mawasiliano

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala  amewataka Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022 kutunza vitendea kazi ili kufanikisha zoezi hilo muhimu kwa Taifa

Amesema hayo Agosti 12,2022 alipowatembelea katika vituo vyao vya mafunzo cha Mahuta,Luagala na Tandahimba na kuwasistiza kuwa wazalendo na kuzingatia mafunzo wanayopewa ili zoezi liweze kufanikiwa

"Mmeaminiwa kutekeleza jukumu hili,ni imani yangu wote mtamaliza mafunzo na mtamaliza vizuri,vifaa ambavyo mmekabidhiwa mkavitunze lakini pia hatutarajii sababu zozote za mtu kujitoa katika zoezi hili ambapo mpo mwishoni mwa mafunzo,"amesema Dc Sawala

Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba  ina Wasimamizi wa sensa 1284 ambao wanaendelea na mafunzo katika vituo vitatu ambavyo ni Mahuta,Luagala na Tandahimba ambapo wasimamizi maudhui  ni 112,Tehama 32 na Makarani 1140

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO KWA MADIWANI WA KAMATI YA FEDHA WILAYA YA TANDAHIMBA WAKIWA MKOANI SIMIYU NA MATARAJIO YAO KWA WANANCHI

    June 10, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 10, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa