• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

WANANCHI TANDAHIMBA WAIPONGEZA SERIKALI MIAKA 62 YA UHURU

Posted on: December 9th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano


Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba leo Disemba 9,2023 wameshiriki mdahalo wa  Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara ambapo wameipongeza Serikali kwa kuboresha sekta mbalimbali  nchini.

Wakizungumza kwenye mdahalo huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri  ukiongozwa na Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba ambaye ni Katibu Tawala  Ndugu .Rashidi Shabani, na kuhudhuriwa na Wazee maarufu,viongozi wa vyama vya siasa,viongozi wa dini,Kamati ya Usalama ya Wilaya,Timu ya Menejimenti,Wakuu wa taasisi,Watumishi na wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Tandahimba

Katika Mdahalo huo wachangia mada wameeleza Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ilipotoka katika sekta zote ,ilipo sasa ambapo wamesema Maendeleo yanaonekana kwa macho na inapoelekea  kimaendeleo, pia wametoa  mapendekezo yao kwa Serikali kuendelea kusimamia mila,desturi na tamaduni ili kulinda na kuzingatia maadili ya kizazi kilichopo na kijacho .

Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara hufanyika kila Mwaka ambapo Kitaifa Mwaka huu  yamefanyika Mkoani Dodoma chini ya kauli mbiu "Umoja na Mshikamano ni chachu ya Maendeleo ya Taifa letu"

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa