Na Kitengo cha Mawasiliano
Wajumbe wa kamati ya Ulinzi wa mtoto wametakiwa kuzingatia mipango kazi ili kutoa elimu kwa jamii kuweza kutokomeza vitendo vya kikatili kwa watoto na wanawake katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
Hayo yamesemwa Oktoba 6,2022 na Mkuu wa Idara ya Usimamizi Rasiliamali watu na Utawala Bi.Jane Mallongo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wakati akifungua kikao cha kamati ya MTAKUWA Wilaya ambacho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri
“Ili tuweze kufikia malengo kila mjumbe wa MTAKUWA lazima kuzingatia Mpango kazi wake ili kutoa elimu dhidi ya vitendo vya kikatili wanavyofanyiwa watoto na wanawake katika jamii inayotuzunguka,”amesema Mallongo
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa