Na Kitengo cha Mawasiliano
Wajumbe wa Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe.Baisa Baisa Agosti 12,2023 imetembelea miradi ya Maendeleo katika kipindi cha robo ya nne 2022/2023
Kwa upande wake Mhe.Baisa Baisa amesistiza wananchi kutunza miundombinu inayotekelezwa na Serikali katika maeneo yao
Miradi iliyotembelewa na Wajumbe wa Kamati hiyo ni Mradi wa ujenzi wa madarasa mawili na ukarabati na madarasa mawili shule ya Msingi Namkomolela na Mradi wa ujenzi wa shule mpya ya Msingi Mambamba B
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa