Na Kitengo cha Mawasiliano
Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba leo Juni 12,2023 imeanza kupokea watumishi wa Ajira Mpya Kada ya Elimu na Afya ambao wameanza kuwasili katika Ofisi ya Utumishi kwa ajili ya taratibu za ujazaji wa fomu mbalimbali za kiutumishi
Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba tumepata watumishi wa ajira Mpya 103 ambapo kada ya Afya watumishi 34,watumishi 38 Elimu Sekondari na watumishi 31 Elimu msingi
Tunamshukuru Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa waajiriwa wapya ambapo utoaji wa huduma bora kwa jamii utaongezeka
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa