Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe.Kanali Ahmed Abbas Ahmed amekabidhi mashine 100 za kubangua korosho kwa vikundi 22 vya wabanguaji wadogo kutoka Mkoa wa Mtwara na Lindi ambazo zimetokana na fedha zilizopatikana katika msimu wa kwanza wa Korosho Marathoni mwaka 2022 na wadau
Makabidhiano hayo yamefanyika Mei 13,2023 katika uzinduzi wa Msimu wa pili wa Korosho Marathoni Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
Akizungumzia msimu wa Pili wa Korosho Marathoni Mkurugunzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania Ndg. Francis Alfred amesema kuwa fedha zitakazopatikana katika msimu wa Pili wa Korosho Marathoni 2023 ambao utafanyika Septemba 2,2023 zitatumika kuboresha Elimu
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa