Na Kitengo cha Mawasiliano
Timu ya mpira wa Mguu ya Tandahimba HQ imeiibuka mshindi dhidi ya timu ya Mchichira Combine kwa kuichapa bao 1-0 katika mechi iliyofanyika Aprili 25,3023 katika uwanja wa Mpira wa Mchichira
Timu ya Tandahimba HQ ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Mhe. Baisa Baisa waliibuka kidedea na kushinda zawadi ya Mbuzi katika mechi hiyo
Mechi hizi zimefanyika kuamsha ari kwa wananchi katika kusherekea maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambayo Kimkoa yatafanyika katika kijiji cha Mchichira Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa