• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

TIMU YA MENEJIMENTI YATEMBELEA ENEO LLILOTOLEWA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MALAMBA KWA SHUGHULI ZA KIUCHUMI

Posted on: April 14th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano

Timu ya Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba (CMT) ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji  Ndg.Mussa Gama imetembelea eneo ambalo limetolewa na wananchi wa kijiji cha Malamba kata ya Malopokelo kwa ajili ya shughuli za maendeleo ya kichumi

Akizungumza na wananchi kijijini hapo  Aprili14,2023 Mkurugenzi amewapongeza wananchi kwa kutoa eneo hilo la ekari 70 ambalo litatumika kwa ajili ya shughuli za kiuchumi kama vile ujenzi wa shule ya kiingereza sambamba na shughuli zingine za kiuchumi

"Nawapongeza wananchi wa kijiji cha Malamba kwa kuridhia kutoa eneo kwa ajili ya shughuli za maendeleo ya kiuchumi ,sisi Halmashauri tulihitaji ekari 70 na mmeridhia,tunawashukuru  hivyo wataalam wa ardhi watapima linalobaki wanakijiji mtaendelea kwa shughuli zenu za kijiji," amesema Mkurugenzi

Aidha amesema kuwa shughuli za kiuchumi zikifanyika katika eneo hilo wananchi wa kijiji hicho wataongeza kipato chao kwa kufanya shughuli  mbalimbali

Nao wananchi ambao walitoa maoni yao katika kikao hicho wakiongozwa na Diwani wa kata ya Malopokelo Mhe.Sabihi Mayunda wamempongeza Mkurugenzi kwa hatua hiyo  ambapo wamesema kuwa eneo hilo ni shamba la ushirika la kijiji hivyo eneo litakalobaki wataendelea na utaratibu wao

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa