• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

" TANDAHIMBA TUKO VIZURI UTEKELEZAJI WA AFUA ZA LISHE" MKUTI.

Posted on: July 29th, 2024

Na Kitengo ccha Mawasiliano 

Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Francis Mkuti ameongoza Kikao Cha Robo ya Nne Cha kijadili Utekelezaji wa Viashiria vya  Mkataba wa Lishe na kuwapongeza Viongozi hasa Watendaji wa Kata kwa kusimamia vyema na kuhakikisha Jamii inakuwa na lishe Bora na kuimarisha Afya zao.

Awali akitoa taarifa ya robo ya Nne(Aprili-Juni 2023/ 2024) Afisa Lishe Wilaya ya Tandahimba Asha Selemani amesema Shule za Sekondari na Msingi zote  Wilaya ya Tandahimba zinapata Chakula walau Mlo mmoja kwa siku , Watoto wote wanaogundulika na Utapiamlo wanapatiwa matibabu kwa 100% sambamba na kufanikiwa kuelimisha jamii ulaji Bora wa Mlo kamili.

Aidha, Mkuti amewasisitiza watendaji wa Kata kuendelea na kasi hiyo na zaidi kwa kutoa Elimu kwa Jamii juu ya umuhimu wa kuzingatia lishe Bora .

Katika Robo ya Nne Kata ya Mihambwe imeongoza kwa 95.54%  utekelezaji wa Mkataba wa afua za Lishe kati ya Kata 32 za Wilaya ya Tandahimba.

#kaziiendelee

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO KWA MADIWANI WA KAMATI YA FEDHA WILAYA YA TANDAHIMBA WAKIWA MKOANI SIMIYU NA MATARAJIO YAO KWA WANANCHI

    June 10, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 10, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa