Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala amesistiza Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) yanayofanya kazi Wilaya ya Tandahimba kuzingatia maadili ya watanzania wakati wa utekelezaji wa shughuli zao
Amesema hayo Mei 26,2023 wakati akifungua mkutano wa mwaka wa NGOs kwa kipindi cha mwaka 2022/2023 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri
Aidha ametoa rai kwa NGOs kudumisha amani na ushirikiano miongini mwao na Serikali sambamba na kuelimisha jamii kuzingatia Elimu na kutoa taarifa za shughuli zao za utekelezaji kila kipindi cha robo ya mwaka
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa