Na Kitengo cha Mawasiliano
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Mhe.Baisa Baisa Februari 2,2024 amekabidhi madawati 500 yaliyotengenezwa kwa Fedha za Mfuko wa Elimu wa Halmashauri miongoni mwa madawati 1820 yaliyotengenezwa kwa fedha za Mfuko wa Elimu na Fedha za Mapato ya ndani.
Akizungumza wakati akikabidhi madawati hayo Mwenyekiti amesema kuwa Fedha za Mfuko wa Elimu umetengeneza madawati 820 na Fedha za Mapato ya ndani madawati 1000 na kufanya jumla ya madawati 1820 ambayo yataendelea kukabidhiwa ili wanafunzi waendelee kukaa kwenye madawati.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa