Na Kitengo cha Mawasiliano
Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Elimu Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Mshamu Bakili na Wajumbe wa bodi wameapishwa rasmi ambapo wametakiwa kuviishi viapo vyao
Hafla hiyo ya imefanyika Machi 7,2023 mbele ya Afisa Sheria wa Halmashauri katika ukumbi wa mikutano na kushuhudiwa na Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba ,KU,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba na Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa