Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Ndg.Mussa Gama ameongoza mdahalo wa Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri Aprili 25,2023
Katika mdahalo huo washiriki walitoa maoni na mapendekezo mbalimbali kuhusu tulipotoka tulipo na tunapoelekea ambapo wamesistiza kuendelea kuunganisha Umoja na Amani ili kuenzi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambao umetimiza miaka 59
Aidha wameshauri Serikali kuendelea kutoa ajira kwa vijana ,kuenzi kundi la wazee hasa katika upatikanaji wa huduma za afya kwa wazee sambamba na historia ya Muungano itolewe mashuleni kuuenzi Muungano ambao ni tunu ya Taifa
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa