• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Mkurugenzi akabidhi baiskeli kwa Mwanafunzi Mlemavu

Posted on: September 28th, 2020

Na Kitengo cha Habari na Mawasiliano

Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba imekabidhi baiskeli kwa mwanafunzi wa  darasa la nne Faizak Maulid(10) wa shule ya Msingi Mweru iliyopo Kata ya Chaume ambaye ni mlemavu wa miguu

Akikabidhi baiskeli hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Afisa Elimu Msingi Wilaya Hadija Mwinuka amesema kuwa itamsaidia kufika shule kwa wakati badala ya kubebwa kwenye baiskeli ya kawaida

Afisa Elimu Msingi Hadija Mwinuka mara baada ya kumkabidhi baiskeli mwanafunzi Faizak Maulid(10)

“Naikabidhi baiskeli hii ili iweze kumsaidia kuja shule na kukaa nayo darasani  lakini pia natoa wito kwa wazazi wasiwaache watoto wenye ulemavu nyumbani wana haki ya kupata elimu sawa na watoto wengine,”amesema Mwinuka

Mwinuka amesema zipo shule nyingine zenye wanafunzi wenye uhitaji wa baiskeli Halmashauri imejipanga  kuwasaidia kuwapatia baiskel wanafunzi hao kwa awamu ili kuweawezesha kufika shule na kusoma katika mazingira  bora

Afisa Maendeleo Jackline Kasondera akimfunga mkanda mwanafunzi Faizaki

Naye Mzazi wa mwanafunzi huyo Maulid Abdallah ameishukuru serikali kwa kumuwezesha mwanafunzi kupata baiskeli ambayo itamsaidia kutoka sehemu moja kwenda nyingine badala ya kutambaa na kubebwa kwenye baiskel ya kawaida

Mzazi wa Mwanafunzi  Maulid Abdallah  akitoa shukrani zake kwa Afisa Elimu Msingi Wilaya

 “Naishukuru Halmashauri kwa kumpatia mwanangu baiskeli hii mwanangu amezaliwa akiwa  mlemavu hivyo itamsaidia sana,watoto kama hawa wapo wengi naomba pia iwakumbuke na wengine kwenye shule zingine wenye uhitaji kama huu,”amesema Maulid

Matangazo

  • TANGAZO LA WALIOFAULU USAILI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. January 15, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKABIDHI VISHIKWAMBI KWA MAAFISA UGANI TANDAHIMBA

    February 18, 2025
  • KU WILAYA YA TANDAHIMBA YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU MWAKA 2025

    February 17, 2025
  • Vipaumbele Mahususi vya Bajeti ya 2025/2026 Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba.

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TANDAHIMBA LAPITISHA MAKISIO YA MPANGO NA BAJETI YA TSH .BIL.40.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026.

    February 13, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa