Na Kitengo cha Mawasiliano.
Kuelekea Maadhimisho ya Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoadhimishwa Disemba 9 kila Mwaka Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba imepanda miche ya Miti 300 katika maeneo mbalimbali yakiwemo maeneo ya Shule na Hospitali ya Wilaya.
Akizungumza leo Disemba 8,2023 Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala wakati akiongoza watumishi na wananchi kwenye zoezi la kushiriki Usafi wa mazingira na Upandaji wa Miti katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba amesema kuwa jukumu hilo ni la kila mmoja.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa