Na Kitengo cha Mawasiliano
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba limemchagua Diwani wa Kata ya Luagala Mhe.Rehema Liute kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
Uchaguzi huo umefanyika leo Agosti 24,2023 kwenye ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri kwa mujibu wa kanuni namba 6 na namba 9 ya kanuni za kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba za mwaka 2017
Aidha Madiwani,Menejimenti na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wamempongeza Mhe,Liute kwa kuchaguliwa katika nafasi hiyo na kumtakia utekelezaji mwema wa majukumu yake
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa