Na Kitengo cha Mawasiliano
Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wamewasilisha taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya kata zao kwa kipindi cha robo ya pili 2022/2023
Taarifa hizo wamewasilisha Februari 6,2023 katika kikao cha kawaida cha Baraza la madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano ya Halmashauri
Naye Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba akisoma taarifa yake kwa kipindi cha robo ya pili kwa waheshimiwa madiwani amewapongeza kwa ushirikiano wao na watendaji kata kufanikisha wanafunzi wa kidato cha kwanza kuripoti shule kwa asilimia 97 hadi sasa na wanafunzi waliosajiliwa awali na msingi kufikia zaidi ya asilimia 100
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa