Na Kitengo cha Mawasiliano
Ikiwa ni siku ya pili ya ziara ya kujifunza ya Waheshimiwa Madiwani na baadhi ya wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya Februari 22,2023 wametembelea shule za msingi za kiingereza zinazomilikiwa na Halmashauri hiyo ili kujifunza sambamba na kuona dampo
Madiwani wameweza kuona jinsi miradi hiyo inavyoweza kuongeza mapato ya Halmashauri lakini pia kutoa ajira kwa baadhi ya wananchi
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa