• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Katibu Itikadi na Uenezi CCM aipongeza Halmashauri ya Tandahimba

Posted on: June 4th, 2022

Na Kitengo cha Habari na Mawasiliano

Katibu wa Halmashauri ya Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Itikadi naUenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba kwakutumia fedha za mapato ya ndani kutekeleza ujenzi wa mradi wa kituo cha afya cha Kitama

Hayo ameyasema leo Juni 4,2022 alipotembelea ujenzi wa mradi  wa kituo cha afya cha Kitama ambao unatekelezwa kwa fedha za mapato ya ndani ambapo kiasi cha shilingi  Milioni 400 zitatumika kutekeleza ujenzi wa kituo hicho

”Nawapongeza kwa kutekeleza kwa vitendo maelekezo yale ya kila Halmashauri ambayo inakusanya chini ya shilingi Bil 1 kutumia mapato ya ndani katika kuwekeza katika shughuli  ya maendeleo,halmashauri hii mmefanya  vizuri sana kwa kutekeleza mradi huu wa maendeleo hongerenisana,”amesema Katibu

Muonekano wa mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Kitama

Akiwa Wilayani Tandahimba amezungumza na Wananchi nakuwasistiza  kutumia chakula  vizuri walichonacho  ili kuepuka tatizo la njaa ambapo Shirika la Chakula Duniani (FAO) tayari imetoa tahadhari ya uhaba wa chakula

Aidha akijibu maswali ya wananchi kuhusu maji amesema kuwa serikali inakuja kumaliza tatizo la maji ambapo miradi mikubwa miwili itatekelezwa ambayo ni ujenzi wa mradi wa maji kutoka mto Ruvuma na mradi wa maji  kwa kutumia chanzo cha Mitema ambapo ikikamilikawananchi wa Tandahimba watasahau tatizo hilo

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKAGUA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO SEKTA YA ELIMU

    June 25, 2025
  • DED MWANZALIMA ATEMBELEA MIRADI YA ELIMU

    June 21, 2025
  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa