Na Kitengo cha Mawasiliano
Ikiwa leo Januari 8,2024 Shule zimefunguliwa kwa kuanza Muhula mpya wa Masomo 2024 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ACI.Mariam Mwanzalima ameendelea kuwakumbusha Wazazi na Walezi kuhakikisha wanafunzi wote wanaripoti Shule.
Aidha ACI.Mwanzalima anamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha miundombinu ya Elimu na ujenzi wa Shule mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ambazo leo Januari 8,2024 zimeanza kupokea wanafunzi rasmi.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa