• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Kamati ya Siasa Wilaya ya Tandahimba yaipongeza Halmashauri Ujenzi wa vyumba 10 vya madarasa

Posted on: January 21st, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano

Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM)  Wilaya ya Tandahimba imeipongeza Halmashauri kwa utekelezaji wa Ujenzi wa vyumba kumi (10) vya madarasa kwa ajili ya wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2023

Akizungumza Januari 21,2023 katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa vyumba kumi vya madarasa  mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tandahimba Mhe.Ismaili Mkadimba amesema vyumba hivyo vimesaidia wanafunzi waliochaguliwa  wote kuendelea na masomo

“Kamati ya Siasa tumekagua miradi hii ya ujenzi  vyumba kumi vya madarasa tunaipongeza Halmashauri kwa kutekeleza  miradi hiyo kwa wakati na wanafunzi wameanza kutumia,kikubwa tuendelee kuunga jitihada za Mhe.Rais wa awamu ya sita,anafanya kazi kubwa,anatekeleza sera za CCM kwa vitendo,”amesema Mhe.Mkadimba

Miradi iliyotembelewa na Kamati ya Siasa  ni Ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa Shule yaSekindari Kwanyama,Ujenzi wa Vyumba vitatu shule ya Sekondari ya Mndumbwe na Ujenzi wa vyumba vinne vya madarasa shule Sekondari ya Tandahimba

Aidha kiasi cha shilingi Milioni Mia mbili (200,000,000) zilitolewa na Serikali Kuu ambapo hadi kufikia Disemba 15,2022 miradi yote ilikamilika na wanafunzi wameanza masomo Januari 9,2023 katika madarasa hayo

Matangazo

  • TANGAZO LA WALIOFAULU USAILI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. January 15, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • DC MNTENJELE AKABIDHI VISHIKWAMBI KWA MAAFISA UGANI TANDAHIMBA

    February 18, 2025
  • KU WILAYA YA TANDAHIMBA YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU MWAKA 2025

    February 17, 2025
  • Vipaumbele Mahususi vya Bajeti ya 2025/2026 Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba.

    February 13, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI TANDAHIMBA LAPITISHA MAKISIO YA MPANGO NA BAJETI YA TSH .BIL.40.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026.

    February 13, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa