• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

KAMATI YA SIASA MKOA WA MTWARA YARIDHISHWA NA MIRADI YA MAENDELEO TANDAHIMBA.

Posted on: October 8th, 2023

Na Kitengo cha Mawasiliano. 


Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mtwara Mhe.Said Nyengedi amewaongoza wajumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mtwara katika ziara ya kukagua Miradi ya Maendeleo inayopo na inayotekelezwa Wilaya ya Tandahimba.

Akizungumza Oktoba 8,2023 wakati akikagua Mradi wa Maji Lipalwe wenye gharama ya Tsh.Milioni 553.3 Mhe.Nyengedi ameipongeza Serikali kwa kutekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) kwa Vitendo na Wananchi wananufaika na Miradi hiyo.

Mradi wa Maji Lipalwe ambao umekamilika na Wananchi wapatao 2981 wa Vijiji vya Lipalwe A" na B" wanatumia Maji hayo  ambapo wanufaika hasa akina mama watatumia muda mwingi kwenye Uzalishaji Mali badala Kutafuta Maji.

Kwa Upande wake Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa Miradi Mikubwa inayoendelea kutekelezwa Wilayani humo akiahidi kuendelea kuisimamia vyema ili ilete tija kwa wananchi.

Miradi mingine iliyokaguliwa na Kamati ya Siasa Mkoa ni pamoja na Mradi wa maji Lipalwe, Ujenzi wa Sekondari mpya ya Mahuta, Mradi wa usambazaji umeme vijijini (REA), na Uzinduzi wa utoaji wa huduma za afya kwa wananchi katika zahanati ya Mnazimmoja.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 05, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI November 17, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI YA MKATABA January 08, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA MKIMBIZA MWENGE KIWILAYA March 30, 2024
  • Soma

Habari mpya

  • TANDAHIMBA YAPATA HATI SAFI MARA YA TANO MFULULIZO.

    June 17, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 11, 2025
  • ZIARA YA MAFUNZO KWA MADIWANI WA KAMATI YA FEDHA WILAYA YA TANDAHIMBA WAKIWA MKOANI SIMIYU NA MATARAJIO YAO KWA WANANCHI

    June 10, 2025
  • WAZIRI SIMBACHAWENE AMPONGEZA MKURUGENZI WA TANDAHIMBA NA MADIWANI KWA KUFANYA ZIARA YA MAFUNZO SIMIYU.

    June 10, 2025
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa