• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba yapata hati safi mara sita mfululizo

Posted on: June 21st, 2022

Na Kitengo cha Habari na  Mawasiliano

Hamashauri ya Wilaya ya Tandahimba imeendelea kufanya vizuri katika usimamizi wa matumizi  ya fedha  na kupelekea kupata hati safi kwa miaka sita mfululizo kuanzia mwaka wa fedha 2015/2016 hadi mwaka wa fedha 2020/2021

Ndugu Fasteck Mwampashe Mwakilishi wa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mkoa wa Mtwara akisoma taarifa yake leo Juni 21,2022 katika mkutano maalum wa baraza la madiwani ameipongeza Halmashauri ya wilaya ya Tandahimba kwa kupata hati safi kwa mwaka wa fedha 2020/2021

Ndugu Fasteck Mwampashe akisoma taarifa

Katika ukaguzi wa hesabu za mwaka wa fedha  2020/2021 Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ilikuwa na hoja 37 ambapo hoja 24 zimefungwa na hoja 13 zipo katika hatua za utekelezaji

Wakuu wa Idara na Vitengo wakiwa katika Mkutano maalum wa baraza la madiwani

Naye Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe.Brig.Jen.Marco Gaguti  akizungumza katika mkutano  maalum wa baraza la madiwani ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba kwa kupata hati safi na amesistiza baraza la madiwani  kusimamia ili zisizalishwe hoja zingine mpya

Mhe.Brig.Jen.Marco Gaguti Mkuu wa Mkoa wa Mtwara

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MFUKO WA ELIMU October 31, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 16, 2022
  • TANGAZO LA USAFI May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • Soma

Habari mpya

  • Vijana Tandahimba washiriki upandaji miti na usafi wa mazingira

    March 21, 2023
  • Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba yaanza kutumia mfumo mpya wa kielektroniki wa ukusanyajI Mapato TAUSI

    March 13, 2023
  • Mkuu wa Mkoa wa Mtwara akabidhi Pikipiki 64 kwa maafisa Ugani Tandahimba

    March 10, 2023
  • Serikali itaendelea kuwawezesha wanawake kiuchumi

    March 08, 2023
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa