Na Kitengo cha Mawasiliano
Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba imepokea pikipiki tatu kwa ajili ya usimamizi wa shughuli za lishe
Pikipiki hizo aina ya Boxer ni miongoni mwa pikipiki hamsini (50) ambazo zimetolewa na Mhe.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Septemba 30,2022 Jijini Dodoma kwenye hafla ya utiaji saini mkataba wa usimamizi wa shughuli za lishe
Baraza la madiwani Menejimenti na Watumishi wa Halmashauri yaTandahimba tunamshukuru Mhe.Rais kwa pikipiki hizo ambazo zitarahisisha utendaji kazi wa shughuli za lishe katika Halmashauri yetu
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa