Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanli Patrick Sawala ametoa wito kwa wasimamizi wa Sensa ambao wamekamilisha zoezi katika maeneo yao na wamekuja kuongeza nguvu katika maeneo mengine kuhakikisha wanakamilisha zoezi hilo kwa ufanisi
Ameyasema hayo Agosti 28,2022 wakati akizungumza na wasimamizi hao katika ofisi ya Dc ambapo amesema kuwa tayari kata 19 kati ya 32 zimekamilisha zoezi hilo
“Naamini huko katika maeneo ambayo mmetoka mmekamilisha kwa ufanisi sasa hakikisheni katika maeneo ambayo bado na mmekuja kuongeza nguvu mtumie muda uliopo kwa umoja wenu ili kila mwananchi aweze kuhesabiwa ,”amesema Dc Sawala
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa