Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala Agosti 9,2023 ametembelea mradi wa ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari kata ya Mahuta ambayo inatekelezwa kwa gharama ya Tsh.Mil 560.5 fedha kutoka Serikali Kuu kupitia mradi wa SEQUIP
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa