• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

DC SAWALA AONGOZA WANANCHI KUJAZA KIFUSI MRADI WA UJENZI SHULE SHIKIZI MNARANI

Posted on: April 25th, 2023

Na Kitengo cha Mawasliano

Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala akiwa pamoja na Kamati ya Usalama Wilaya (KU) na Timu ya Menejimenti (CMT) wameshiriki kuweka kifusi katika mradi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya madarasa na ofisi moja ya walimu shule shikizi Mnarani kata ya Mchichira kuunga jitihada  za miradi ya maendeleo

Akizungumza na wananchi waliojitokeza kwa wingi kushiriki katika uwekaji wa kifusi Aprili 25,2023 Dc Sawala amewapongeza wananchi kwa kuibua miradi ya Maendeleo ambapo amesema juhudi hizo ziendelee ili kukamilisha mradi huo wanafunzi waanze kusoma katika shule hiyo

Aidha alitumia nafasi hiyo kuwasisistiza wananchi kuhuisha taarifa za mikorosho yao katika zoezi la uhuishaji wa kanzi data za wakulima  ili kupata takwimu sahihi ambayo itasaidia wakati wa ugawaji wa pembejeo

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI NA WAJUMBE WA BODI YA MFUKO WA ELIMU October 31, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 16, 2022
  • TANGAZO LA USAFI May 24, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • Soma

Habari mpya

  • "WASHIRIKISHENI WAZAZI NA WALEZI KIPINDI HIKI CHA MAVUNO WACHANGIE CHAKULA CHA WANAFUNZI SHULENI "DC SAWALA

    June 15, 2023
  • VIKUNDI VYA UBANGUAJI WADOGO WANUFAIKA NA KOROSHO MARATHONI

    May 14, 2023
  • RC MTWARA AZINDUA MSIMU WA PILI WA MBIO ZA KOROSHO MARATHONI HALMASHAURI YA WILAYA YA TANDAHIMBA

    May 13, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA TANDAHIMBA YAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI

    May 12, 2023
  • Soma

Video

MKUU WA WILAYA YA TANDAHIMBA PAMOJA NA MKURUGENZI WASHIRIKI UJENZI WA KITUO CHA AFYA MAHEHA
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa