Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe.Kanali Patrick Sawala amesistiza Elimu ya Tin namba na matumizi ya mashine ya kielektroniki itolewe kwa wananchi na wafanyabiashara kuanzia ngazi ya vijiji
Amesema hayo leo Julai 10,2023 katika kikao cha Baraza la Biashara ambalo huwakutanisha wadau wa biashara kujadili masuala mbalimbali ya biashara kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa