Na Kitengo cha Mwasiliano
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Mhe.Baisa Baisa amemkabidhi cheti cha pongezi Mhe.Kanali Patrick Sawala Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba kwa kuwa mhamasishaji namba moja katika masuala ya Elimu katika Wilaya ya Tandahimba
Cheti hicho cha pongezi kimetolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba Machi 3,2023 katika maadhimisho ya Juma la Elimu ambapo Kiwilaya yamefanyika katika kiwanja cha shule ya msingi Amani
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa