Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkuu wa Wilaya ya Masasi Mhe.Lauter Kanoni akiwa na viongozi mbalimbali leo Agost 3,2023 wametembelea Banda la Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba katika maonesho ya 30 ya Nanenane Kanda ya Kusini kwenye viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi
Akiwa katika banda la Tandahimba ametembelea vipando na kuona bidhaa mbalimbali zinazotengenezwa na Wajasiriamali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba ambapo amewapongeza kwa kushiriki na amesema kuwa hiyo ni nafasi nzuri kwa wajasiriamali kuonesha bidhaa zao na kuziuza sambamba na kujitangaza kibiashara
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa