Na Kitengo cha Mawasiliano
Mkuu wa Wilaya yaTandahimba Mhe.Patrick Sawala ameongoza wananchi kufanya Usafi wa Mazingira wa Jumamosi ya Mwisho wa mwezi katika maeneo mbalimbali
Shughuli za usafi wa mazingira leo Septemba 24,2022 ambapo zilianzia eneo la roundabout kata ya Tandahimba ambapo wananchi nawatumishi wa taasisi mbalimbali zilizopo ndani ya Halmashauri walifanya usafi katika mitaro ya barabara na maeneo yao ya taasisi nakumalizia kwakufanyausafi katika eneo la soko la zamani
Dc Sawala amesema kuwa utaratibu huo wa kufanya usafi kila mwisho wa mwezi ni endelevu hivyo wananchi waendelee kuweka mazingira safi ili kuepuka magonjwa ya mlipuko
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimbadc.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa