• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za Ofisi |
Tandahimba District Council
Tandahimba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
  • Utawala
    • Idara na Vitengo
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati
      • Kamati ya Fedha
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Kumuona Mh. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Kuonana na Mh. Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi iliyoko kwenye Mpango
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Zabuni
    • Kanuni na Taratifbu
    • Ripoti
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha habari
    • Habari Mpya
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Video
    • Maktaba ya picha

Baraza la Madiwani waomba Miji Midogo ya Tandahimba na Mahuta kuwa Miji kamili

Posted on: February 1st, 2021

Na Kitengo cha Habari na Mawasiliano

Baraza la madiwani  Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba limemwomba Mkurugenzi Mtendaji kukamilisha  taratibu  ili Miji Midogo ya Tandahimba na Mahuta  kuwa Miji kamili na iweze kujiendesha kiuchumi

Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Tandahimba wakiwa kwenye kikao cha robo ya pili

Akijibu swali la papo kwa  papo ambalo liliulizwa na  Mheshimiwa Diwani wa Tandahimba Aidan Chipande kuhusu kuchelewa kwa  wa Miji midogo ya Tandahimba na Mahuta kuwa Miji kamili Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ally Machela amesema kuwa ili miji iwe kamili taratibu,sheria  na kanuni lazima zizingatiwe  ambapo  mchakato  unaendelea

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji ndg  Ally Machela akijibu swali la papo  kwa papo

“Katika ukamilishaji wa Miji hii kuna taratibu ,sheria,kanuni na miongozo lazima izingatiwe kwaiyo tunaendelea na mchakato wa kuhakikisha zinakuwa Miji kamili ,”amesema  Ndugu Machela

Naye Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Sebastian Waryuba amevitaka vyama vya msingi vinavyoendelea kukata  shilingi elfu moja kwa wakulima wanaojihorodhesha kwa ajili ya  pembejeo kuacha kwakuwa ni kinyume na utaratibu uliowekwa

Dc Waryuba akitoa ufafanuzi kwa Waheshimiwa Madiwani

 Hatua hiyo imekuja baada ya baadhi ya madiwani kutoa taarifa za wananchi katika maeneo yao kuendelea kukatwa fedha ya kujioredhesha katika vyama vyao vya msingi  kwa ajili ya kupewa pembejeo  hivyo wakulima wengine kuacha kujiandikisha kwa kushindwa kulipa fedha hiyo

“Waheshimiwa madiwani kama ambavyo amesema mtaalamu wa Kilimo kuwa kujiandikisha ni bure mkalisimamie hilo ili wakulima wetu wajitokeze kujiandisha   kama kuna chama kinaendelea na utaratibu wa kuwatoza fedha toeni taarifa sheria ichukue mkondo wake,”amesema Waryuba

Kamati ya Ulinzi na Usalama na wataalamu wa Halmashauri wakiwa kwenye Baraza la Madiwani

Katika Baraza hilo la siku mbili  masuala ambayo yaliweza kujadiliwa ni pamoja na barabara,Kilimo,Pembejeo,ushirika,Elimu,Mikopo ya vijana,walemavu na wanawake kuwafikia kwa wakati

Mheshimiwa  Mbunge wa Jimbo la Tandahimba Katani Katani akizungumzia suala la Ushirika

 

Matangazo

  • Ratiba ya Usafi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi. January 03, 2018
  • Siku ya mazoezi kila jumamosi ya pili ya mwezi January 03, 2018
  • TANGAZO LA UJIO WA MWENGE WA UHURU 2018 WILAYANI TANDAHIMBA June 09, 2018
  • Soma

Habari mpya

  • Mkurugenzi Tandahimba akabidhi vitendea kazi kwa Idara na Vitengo

    February 24, 2021
  • Washiriki wa mafunzo ya TASAF Tandahimba waaswa

    February 24, 2021
  • Mratibu TASAFTandahimba awataka wasimamizi kuzingatia taratibu za fedha kwenye malipo

    February 15, 2021
  • Mwenyekiti Halmasahauri ya Tandahimba akabidhi viti na meza kwa ajili ya kidato cha kwanza 2021

    February 03, 2021
  • Soma

Video

Byakanwa Afunga mwaka kwa mikakati ya mabadiliko
Video nyingin

Kurasa za karibu

  • Ijue Tandahimba.

Viungio vinavyousiana

  • Ofisi ya Rais TAMISEMI
  • President's Official Website
  • Watumishi Portal
  • Tovuti ya ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya sehemu

Tandahimba District Council

Wasiliana Nasi

    TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA

    Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA

    Simu: +25523 2410030

    Simu:

    Barua pepe: ded@tandahimba.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa