Friday 16th, April 2021
@
Baada ya Maonesho ya Kimataifa ya Nanenane Kitaifa katika viwanja vya Ngongo Lindi kukamilika mara ya nne mfululizo katika viwanja hivyo. Kutakuwa na muendelezo wa Maadhimisho hayo ambayo yatafanyika Kikanda,Wananchi wote mnakaribishwa kuja kujionea fursa mbalimbali zihusuzo kilimo.
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimba.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa