Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Mhe. Sebastian Waryuba anawatangazia wananchi wote kuwa kutakuwa na ujio wa Mwenge wa Uhuru 2018.
Mwenge wa Uhuru utaingia wilayani Tandahimba siku ya tarehe 16.06.2018 na utapokelewa katika kijiji cha Lidumbe Mtoni ukitokea Wilaya ya Newala.Habari zaidi bofya hapa MWENGE.pdf
TANDAHIMBA DC,MTWARA TANZANIA
Anuani ya posta: P.O.BOX 03 TANDAHIMBA
Simu: +25523 2410030
Simu:
Barua pepe: ded@tandahimba.go.tz
Hatimiliki ©2017 Tandahimba DC. Haki zote zimehifadhiwa